myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hali yako bro?[emoji28]Morning
Hahah!Salama, nililala pale nilipokuaga nikasubiria reply nikasema huyu kashasinzia huyu.
Kwahiyo baada ya waamuzi kuvaa makoti yao Esperance akashinda😀😀
Thanks!!KarbuShukrani kwa ukumbusho
Itakua hivyo sema sasa goli la Wydad lilikua goli la kweli au la??Hahah!
Ndio bro naona kwasababu ya baridi kali waliona bora wavae kwanza makoti uku wakisubiri maamuzi kutoka, baada ya kama masaa mawili hivi kasoro kidogo ndio refa anaitwa anavua koti, mara anaenda kati ya uwanja nakupiga kipenga cha kumaliza game....
Mimi na wachambuzi hatukuelewa kwanini imekua vile ila nahisi labda watakua wametafsiri kwamba Wydad wameanzisha fujo
Mwenye furaha,Hali yako bro?[emoji28]
Fresh bro,,habar yako??Uhai wenye afya na furaha
Mambo niaje askari?
Wakati wa hilo tukio niliona aibu mimi nikatamani nibebe tv nikatizamie chumbani japo ata hapo sebleni nilikua mwenyeweMpira wa Afrika aibu sana
Jana kumetokea kituko gani kwenye fainali bro?Wakati wa hilo tukio niliona aibu mimi nikatamani nibebe tv nikatizamie chumbani japo ata hapo sebleni nilikua mwenyewe
Salama kabisa broFresh bro,,habar yako??
Umefatilia castle lite unlocks??
Niaje bro,kwema hukoItakua hivyo sema sasa goli la Wydad lilikua goli la kweli au la??
Ngoja nicheki highlights....
Kado ndo yupi bro??Salama kabisa bro
Nimefatilia bro jamaa wanajua sana hasa huyo Kado alistahili
Mimi naona goli la jamaa lilikua halali kabisa yani basi tu mwamuzi ndio mwenye jina lakeItakua hivyo sema sasa goli la Wydad lilikua goli la kweli au la??
Ngoja nicheki highlights....
Siunaongelea Castle lite unlocks ya wale ma-free styler?Kado ndo yupi bro??
Siunaongelea Castle lite unlocks ya wale ma-free styler?
Jana kituko huko mpaka Rais wa shirikisho ikabidi nae aingie kiwanjaniJana kumetokea kituko gani kwenye fainali bro?
Aisee,ngoja nitafatilia broJana kituko huko mpaka Rais wa shirikisho ikabidi nae aingie kiwanjani
Sasa huyo Kado ndio yule alieshinda jana anajiita Kado Kitengo sijuiYes bro!!!hasa hasa wale jamaa watano
NzuriAmun Ra
Habari za asbh
Morning The HappinessGood Morning Tanzania,