Siwezi mkuu japo sauti zetu zinafanana kiasiUwezi iga sauti yake
itokezee leo usiku lifungwe goli la utata halafu var igome, lazima hatua za kinidhamu zichukuliwe.Yaani siamini final ya champion league with CAF President akiwa VIP unasema VAR mbovu shit kabisa yaani sitaki kuamini kama hili limetokea
halafu nimesikia huyo muhuni huenda akaelekea juventus turin.
kuna ukweli wowote?
taarifa ni kwa mujibu wa dimarzio
ndio madhara ya kuajiri IT mashiti na si vitendo.Wachezaji wa Wydad walichachaa zaidi pale waliposikia kuwa VAR imeshindwa kufanya kazi kutokana na matatizo ya kiufundi, ambayo yapo nje ya uwezo wa jopo la teknolojia hiyo ikiongozwa na Janny Sikazwe.
Mkuu napata ulevi adimu kabisa kimya kimya nimeipiga mvulilizokulia na kutokwa na mikojo shilingi ngapi?
nataka mpenzi wangu anililie mpaka atokwe na mikojo (ya kawaida lakini na si yale ya kijitu kizima kama ya mzee wa IST)
ndio raha lampard na ole baba mmoja mama mmojaInawezekana Mkuu sababu Chelsea wanafikiria kumpa timu Frankie Lampard
VAR haikugoma bali waliifanyia figisufigisu ikazimanasikia kuna bara moja la ******* VAR zao zimegoma baada ya goli la utata kufungwa.
kuzaliwa bara hilo ni laana kuliko ya kutembea na mdogo wako
nasikia kuna bara moja la ******* VAR zao zimegoma baada ya goli la utata kufungwa.
kuzaliwa bara hilo ni laana kuliko ya kutembea na mdogo wako
[emoji818][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1114376
πππππ kumbe wameizima?VAR haikugoma bali waliifanyia figisufigisu ikazima
[emoji23][emoji23][emoji23]