capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Umepata futari Min 92?Asante sana SHIMBA YA BUYENZE Mungu akubariki. Ila siamini km una miaka 80 😛 hata mimi nimevutiwa na huu Uzi, upo cool sana.... Nshakuru kwa kunipokea vizuri.
Safi Coco za jumapiliMambo?
Mkuu mm mwenyewe fisi mate yamenitokaLiwaifu lakini si umeliona lilivyo? Jeupe, tipwatipwa, laini, mamiguu ya bia, tabasamu tulivu na limtako meng'enyevu. Simlaumu askofu kwa kupaniki. Hata mimi ingeniuma sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahahahandio maana mungu hasikii kilio chao cha kutaka ubingwa wa premier league.
Hili lina uzi wake maalumu...kweli ulipitwa..Hivi hili jina lilipatikanaje?
Nilipitwa
Yes sijui mnalalamika nini sasaHalafu wanaanza kulalamika eeeh!?
Fraggy bana...
Mimi ndiye mzee kuliko wote katika uzi huu; na ni kweli nina miaka 80. Karibu sana na natumaini kuwa utabakia hapa. Jisikie huru kuposti cho chote hapa ali mradi tu hakivunji sheria...Asante sana SHIMBA YA BUYENZE Mungu akubariki. Ila siamini km una miaka 80 [emoji14] hata mimi nimevutiwa na huu Uzi, upo cool sana.... Nshakuru kwa kunipokea vizuri.
Anayajua mapishi haswaNimeona Fraggy,
Zinaonekana tamu sana!
Nipe linkHili lina uzi wake maalumu...kweli ulipitwa..
80 years mhhhhhh gonga likes tuendeleeUzuri hapa huwa hatutukanani. Japo siasa na dini zipo lakini ni kwa kiasi kidogo na tunavumiliana. Tunapokwazana tunawekana kwenye iginoa listi halafu baadaye tunasameheana na mambo yanasonga mbele. Hapa kuna watu wa kila aina - wasomi, matajiri, wajasiriamali, wakulima na wajuzi wa kila mambo. Kiumri kuna vijana wa kuanzia miaka 16 mpaka wazee wa miaka 80 (mimi). Ukiangalia kwa juu juu utadhani kuwa ni uzi wa hovyo hovyo tu lakini ukikaa kwa muda utagundua kuwa kumbe JF yote iko hapa.
Karibu sana Min 92.
(Na mimi ndiye mtunza kumbukumbu na mafaili yote ya uzi huu. Ukitaka kujua jambo lolote hapa niulize)
Amekuja kivingine sana...Kuna Joselela pia hapa.
HahahahaVery brief Explanation from the OG bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nimecheka mpka basiMzee Baba naona unajipigia pande. Halafu unataka uwe Katibu Mkuu wa CHACHAWA, thubutu yake! Ila hata wavuvi kwenye huu uzi tupo, umetutenga hapo! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
TeheteheteheAsante sana SHIMBA YA BUYENZE Mungu akubariki. Ila siamini km una miaka 80 [emoji14] hata mimi nimevutiwa na huu Uzi, upo cool sana.... Nshakuru kwa kunipokea vizuri.
Hahahaha hatari sanaNakuona mtunza records [emoji51] [emoji51] [emoji109]
Daku lipi fafanua mkuuUmepata futari Min 92?
Karibu kwa futari, daku kama ukipenda pia.
HahahahaMimi ndiye mzee kuliko wote katika uzi huu; na ni kweli nina miaka 80. Karibu sana na natumaini kuwa utabakia hapa. Jisikie huru kuposti cho chote hapa ali mradi tu hakivunji sheria...