[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tudei izi yua dei
That's my bro. Hata kama picha ungekuwa nayo kamwe usingekubali kunisambaza mi bro wako wa ukweli. Love you bro [emoji123][emoji123][emoji123]Mkatalunya Mimi ujuzi wa watunza data sina kabisa niko very slow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakishua!!!Alikosea akaweka viganja vya bae wake (wa sasa). Coco akamuonya mapema mapema (sijui alijuaje) akakimbilia kuifuta picha ila mtunza kumbukumbu nilikuwa online makamera yangu yakawa yameshainyaka tayari. Wameongea weeee eti mtunza kumbukumbu hajaona mi nawacheki tu. Tena nikaaga kabisa kuwa nakwenda kulala [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kuangalia tu viganja na nails mtoto ni mkali balaa. Nails ziko well manicured na mtoto ni mweupe na inavyoonekana ni mayai na mwili soft. Hail to his majesty King Dave [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji818][emoji818][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah king anainjoy balaa ndani na nje ya JF anadaka wakali wakali wanono weupe pee hadi raha. Zile kucha bana full mpapaso ngwararaaa ngwaraaaa kitoto hakina haja ya kula kungu manga ili jicho liwe mlenda
Halafu bro karembo kana gari,kana simu kali ina camera ya beauty plus
Hail to bae wa uzi haaaaaaiiiilll to our dear king muswati
Heeeeeeeiiiiliiiiiiiii to davet[emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120]Kwa wale ambao bado wapo ndani ya mfungo nawatakia kila la kheri mmalize mwezi Salama[emoji120][emoji120]
Sijalala bro. Nawaza viganja usiku kucha. Kama viganja tu viko hivyo, ikulu kwenyewe kukoje? Wakubwa wanafaudu indeed wallahi [emoji24][emoji24][emoji24]Wakishua!!!
Aaah hujawah kosea kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakafatilia haka kastory[emoji23][emoji23]Hukuna kitu kama hicho ile picha ni wewe kabisa siku hizo uliamua kuchoma nyama [emoji3][emoji3]
Ukipajua huko "kule" kunakoongelewa na mimi nitonye bro...Nakafatilia haka kastory[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wozaaaaaaaaaa !!![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1117367
Hahaha hacker alikuwa anafanya kazi yake broHahah acha tu bro, eti adi ninge jana kanirambazia vibaya
Idd Mubarak kakaIDDI pia iliswaliwa viwanja vya TP SinzaView attachment 1117338