D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
hao waigizaji wa kizungu usiwaamini hata kidogo kwenye maisha yao ya asili."Jeniiiii...!!!"
Ngoja nirudi google jamani,Nayega gete bageshi.
Ungoshi wako agitanagwa nani? Ihaha mgikalaga mahe? Alinsukuma wamahe? Nange Mnantuzu?
Unke wane alimhola. Ihaha alimang'hwani kwenuko gumamilimo. Aliofisa ntale gete guwizala ya mapolu. Dulinabana ikumi na batano. Abing'we mlinabana banga?
tafadhali wataje hadharani au nipe home work niwatafute mwenyewe
Huyo ngosha wako mwambie leo kazi anayo [emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nirudi google jamani,
(Ntakutajiaje jina saasa lakin)[emoji51]
Koromije walikata jion wamerudisha mida hii pia
Aisee! Kumbe ni zoezi kubwa sana mpaka huko tena
Mchango nitatoa, ila tunashida juu ya hivyo vidole[emoji85]Ina maana mchango hutoi? Vibaya hivyo [emoji16][emoji16]
Kwa mara ya kwanza code imeshindwa kufunguka jamaniii eeee playmaker ni nani uwiii namuonea wivu kisa kafananishwa na ronaldo
Hahaha usimseme my Queenhumu ndani ni full raha no vita no stress.
utakutana na jay z wa tz nadhani ushamfahamu
utakutana na playmaker kila pahali yupo kama ronaldo
utakutana na mmarekani mweusi aliyelelewa tanzania muda wote, cha ajabu kiswahili hajui sana kuliko kiingilishi
utakutana na server, tafdhali andika kwa umakini ili kaburi lisifukuliwe
utakutana na mzee wa coding a.k.a iphone giftii
utakutana na mkorea mweusi, a.k.a mzee wa mautani mengi, kama huwezi utani wake usimpe likes
utakutana na mzee wa poleni wafanyakazi, wazazi, abiria. muda si mrefu atakuja humu ndani kutoa pole.
kuna mmoja ana mwaka mmoja hajaingia humu ndani lakini cha jabu likes zake zinaongezeka, roboti la mbao kutoka kolomijeeee
Amun RaHahaha shukrani mkuu kwa huu ufafanuzi maridhawa
Hahahahha aiseee hadi kiuno kinafunga duh. Karoho kamesuuzika kufananishwa na HB ronaldo
RUTASHUBANYUMAHahaha usimseme my Queen
Goddess anafanya atakavyo
Anatokea SapiwiiHuyo ngosha wako mwambie leo kazi anayo [emoji16][emoji16][emoji16]
Simiyu anatoka kijiji gani? Asije akawa tunatoka kijiji kimoja ...
Nopesamatta anakwenda kuishusha daraja timu yoyote ndogo atakayosajiliwa
NopeHakuna timu kubwa inayoweza kumtaka hizo ndogo ndio mahala pake sahihi wacha akazishushe tu hakuna namna, maana mchezaji mwenyewe ndoto yake kubwa katika soccer ati nikukanyaga nyasi za Trafod
Sapiwi napafahamu sana. Barabara yetu hiyo tukiwa tunakwenda Ramadi to Musoma/Mwanza. Na hapo Sapiwi A primary niliwahi kaa hapo kwa muda kama miezi mitatu hivi...Ngosha huyo ni wakukaya kabisaAnatokea Sapiwii