Salam kwenu
Itakua poa sana broItabidi nikualike siku moja tule vitu vizuri,..
Maisha yenyewe ndo haya Bro.
Afadhali wewe unajibiwa. Mimi nilifokewa tu "Sipendi maswali!". Na hapo alikuwa bado kafunga. Imagine asingekuwa kwenye mfungo ingekuwaje? Hata vibao si ningeambulia? Kuanzia siku hiyo nimeufyata [emoji16][emoji16][emoji16]Ili jibu limenichosha aisee siulizi tena
Nini hii unafanya
Mpendwa wangu mtata kweli yani 😬 😬Afadhali wewe unajibiwa. Mimi nilifokewa tu "Sipendi maswali!". Na hapo alikuwa bado kafunga. Imagine asingekuwa kwenye mfungo ingekuwaje? Hata vibao si ningeambulia? Kuanzia siku hiyo nimeufyata [emoji16][emoji16][emoji16]
Yes Bro, mambo aje?
Eid kwa upande wangu ni njema mno.Vipi umeshindaje kwenye hii Eid pili?
*Watu wana maneno... eti Simba amelipa double, atakwenda na Mrs.....[emoji848][emoji848]
[emoji1493][emoji1493][emoji1787][emoji1787]
Chezea pilau lazima niwe na furaha tele 😀Mbona leo umechelewa alafu umekuja na furaha sana mama?
Wala hujakosea mpendwa wangu, usiwaze sana.Ile comment nimekosea mpendwa nisamehe sana 🙏
Mzungu kabahatisha muhogo wa jang'ombe...
View attachment 1120120