Hongera sana ila kiporo si chakula kizuri kwa afyaPoa sana aisee nilikuwa na mialiko jana na leo ya mapochopocho ya kila aina. Waalikwa tulikula na kusaza. Nikawekewa pilau, biriyani na chapati za kubeba 😜hivyo ni mwendo wa kupasha moto tu for the next few days kabla sijarudi kwenye ugali wangu.
Florida kule kuna sheria ya "Stand Your Ground". Maana yake hakuna kutishiwa nyau. Ukihisi tu kuwa umetishwa basi una haki ya kumshindilia mtu shaba upendavyo. Kibaka, jambazi, mgoni na ye yote kama unaamini amekutishia maisha yako basi ni halali kummiminia shaba. Jirani yako akifungulia muziki kwa sauti kubwa unaweza kumuitia polisi ila ukijifanya kimbelembele ukaenda kwake kumuomba apunguze sauti; na akahisi kuwa pengine umeenda kumpa kichapo au kumuua basi anaweza akakuwahi wewe na kukumiminia risasi. Huwezi kujua yupi ana bunduki na yupi hana. Ndo maana kila leo visa vya watu kulimana shaba haviishi.
Kiporo cha wali maharage na chai ya rangi ni habari nyingine aisee. Hapo yaani huniambii kitu [emoji16][emoji16][emoji16]Hongera sana ila kiporo si chakula kizuri kwa afya
😀😀😀😀😀Kiporo cha pilau mchezo unachoka hata kuchekaAseeee, mnihurumie, nimechoka kubofya likes hapa.
Khaaaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kiporo cha pilau mchezo unachoka hata kucheka
Umiliki wa bunduki ni haki ya kikatiba kwa kila raia. Japo sheria za matumizi zinatofautiana kutoka jimbo moja kwenda jingine lakini uhalali wa kumiliki bunduki ni kwa kila Mmarekani isipokuwa pengine wale ambao wameshawahi kufungwa jela na wenye ishu za matatizo ya akili japo napo hakuna anayefuatilia sana. Kimsingi ukikorofishana na mtu barabarani assume kuwa ana bunduki na ujiandae kwa lolote !!!Hilo jimbo halina usalama, maisha ya kuwindana.
Sheria hiyo ikiletwa kwetu Temeke tutafaidi kuwalipua vimbelembele kwa kisingizio kama hicho[emoji41][emoji41][emoji41]
Bwana...mimi jioni hii nimekula kiporoHongera sana ila kiporo si chakula kizuri kwa afya
Kwani post yako niliyokuquote inaonesha nini
Subiri kesho utachelewa kuamka na uvivu pia.Bwana...mimi jioni hii nimekula kiporo
Mmh kweli eeh?Subiri kesho utachelewa kuamka na uvivu pia.