Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo unapokutana na mtu mtata ndiyo penye tatizo.
Hapa Tanzania kuna wakati mpaka polisi walionekana nao kuwa na bunduki kwa muda mwingi ni tatizo kutokana na matukio kadhaa, vipi kwa raia.
 
So ni kwa ajili ya nini? Ama vile tuu kuwa na m-store ya siraha kwake fahari?
Kumbe huwajui ma-rednecks na ma hillbillies. Wako proud balaa na haya masilaha na ndiko wanamalizia hela zao. Ukisikia mapolisi wameenda kupekua nyumba ya mtu wakaishia kupukutishwa basi ni ishu kama hizi. Unakuta jamaa ana vifaa vikali kuliko hata mapolisi na vyote amevinunua dukani kiihalali kabisa.

#USABaby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…