Consuela wangu huyo!Mashaalah
Nimekuelewa mpendwa👌🏽Inategemea pia na jinsi kinavyohifadhiwa.
Mzuri mno,ana vutia ingependeza awe wifi yanguConsuela wangu huyo!
Haikuniumiza. Hakuna cha kuniumiza katika uzi huu. Hata mimi hapo nilikuwa natania vile vile. Ukikaa unaumizwa umizwa na vitu hivi vidogo vya mtandaoni tena kutoka kwa watu ambao huwafahamu, huko mtaani sasa itakuwaje?[emoji3][emoji3][emoji3]Hapa nilitania kumbe ilikuumiza hii comment sorry
SawaHaikuniumiza. Hakuna cha kuniumiza katika uzi huu. Hata mimi hapo nilikuwa natania vile vile. Ukikaa unaumizwa umizwa na vitu hivi vidogo vya mtandaoni tena kutoka kwa watu ambao huwafahamu, huko mtaani sasa itakuwaje?
Tumekunukuu sawasawa kabisa. Kwamba viporo siyo vizuri kwa sababu sijui vinachosha. Nami nimetetea kiporo cha wali maharagwe na chai ya rangi mida ya asubuhi asubuhi. Japo najua huko ninakoenda nitakwenda kusinzia lakini siwezi kukiacha hata iweje [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha aisee wahenga mmeninukuu vibaya
Hayo madini yapo hapo kwako kamanda? Anyway lala salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Uwe na wakati mwema Bro,
Natamani iwe ivyo pia,M
Mzuri mno,ana vutia ingependeza awe wifi yangu
Napenda Amani Buana hayo nawaachia wenyewe.Kumbe huwajui ma-rednecks na ma hillbillies. Wako proud balaa na haya masilaha na ndiko wanamalizia hela zao. Ukisikia mapolisi wameenda kupekua nyumba ya mtu wakaishia kupukutishwa basi ni ishu kama hizi. Unakuta jamaa ana vifaa vikali kuliko hata mapolisi na vyote amevinunua dukani kiihalali kabisa.
#USABaby