Salaam mkuu.Sitaki kuwaamini wanasiasa. Ni mijitu ipo kwa ajili ya mitumbo yao na kutaka kusifiwa tu kwa upumbafu wao ambao kwao ndio uchekeshaji wao.
[emoji125][emoji125]Niolo zao...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,kesi imegeukia kwangu tena..Hapana uzoefu naupata kutoka kwako mzee mwenzangu wewe sindio umesema huwa unaoshwa umekaa kwenye Kogoda...
Mitihani ya Sup ikipita nitakuja kukusalimu huko TA
🤣🤣🤣 Nani huyo kaninyang'anya?
Shukrani bro!!na kwako pia,ubarikiwe sana.Basi ni kheri.
Kila la kheri huko.
Hujambo Mkaka?
Ebwana eeeeh! 🙄Huyo jamaa fala. Mkewe alipokuwa ananenepa yeye alikuwa wapi? Hata kama kanenepa, anashindwaje kuuelewa mwili wa mkewe na kwenda naye sawa? Watu tunapambana na majimama ya kufa mtu hulijui mbele wala nyuma lakini mwanaume unahangaika mpaka linabubujika sembuse mai waifu wako kabisa unayemwelewa vizuri? Mtafuta kiki tu huyo hana lolote [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1120005
HahahaNaona vidole vimekuwa ishu hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti Dada ni wewe?
🤣🤣🤣Hapana uzoefu naupata kutoka kwako mzee mwenzangu wewe sindio umesema huwa unaoshwa umekaa kwenye Kogoda...
Mitihani ya Sup ikipita nitakuja kukusalimu huko TA
Kwani ni kesi au ulikua unanisimulia maisha unayoishi huko Tanga kwamba unaoshwa ukiwa umekaa kwenye kigoda....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,kesi imegeukia kwangu tena..
Sawa sawa,pambana na hzo sup bhana,safari hii mimi nmeclear sina vimeo[emoji2][emoji2][emoji123]
Mwenyeji King Dave si nasikia mwenyeji huko? Sasa nitapataje shida na bro wangu tena king kabisa yupo huko?Tanga utatua wapi sasa?Au kuna viwanja vidogo [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mshaanza kuniundia skendo! dah
Za kupotea Frag? Nasikia kuna mtu hapa alikuwa amekunyang'anya nywila. Izi zisi turuu?Hahaha
Lakini wewe umeulizwa hivyo kwasababu unatumiaga hotel za Nyota tanoMwenyeji King Dave si nasikia mwenyeji huko? Sasa nitapataje shida na bro wangu tena king kabisa yupo huko?
Alinihaki akabadili nywila yangu!🤣Za kupotea Frag? Nasikia kuna mtu hapa alikuwa amekunyang'anya nywila. Izi zisi turuu?
🤣🤣🤣🤣Achilia nywilaaa [emoji344][emoji344][emoji344]
Davet ni nini lakini kututia machungu !