capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kwema sana Bro, hajambo Shemeji?Kutokana na eneo uliopo, Bongo bado nyingi tunatekenya tu...
Fresh bro kwema?
Naonaga eti ni afadhali twitter. Halafu marafiki zangu wengi ninao kwenye magroup ya Whatsapp. Likely na uhenga nao unachangia bro...Kwanini huna Akauti Bro
I am fine..
Kihoma homa kwa mbali but I can't complain bro...
Shenzi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naonaga eti ni afadhali twitter. Halafu marafiki zangu wengi ninao kwenye magroup ya Whatsapp. Likely na uhenga nao unachangia bro...
Kwema lakini? Bado uko chimbo lile lile?
Ni utani?Shenzi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa safi sana...Kwema Bro
Yeah bado, ila hopefully uzima ukiwepo mida ukiwa Around nitakuibukia Mbagala
Mkombozi wa wengi hasa madomozege enzi zileee [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa Wahaya
Asante bro...Stay Strong kamanda [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Jamaa amejaa vizuri mike kampa UppercutNi utani?
Ni kicheko?
Ni povu?
Au umetukana kweli mkuu?
Fafanua ueleweke. Nakuona onaga humu mara moja moja tu...
View attachment 1121651
Itakuwa safi sana...
Na kama unakunywaga siku hiyo utarudi kwako ukiwa unatambaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ana kiuno matata sana!Amun Ra...