Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si ajabu hata hawa wanasiasa wetu ni zao la hao hao wazungu.
 
Si ajabu hata hawa wanasiasa wetu ni zao la hao hao wazungu.
Ni zao la mifumo ile ile ya elimu, kijamii, kisiasa na mingineyo. Ndo maana hata wakija wapya mambo ni yale yale. Karibu bara zima liko pale pale linapiga makitaimu ya kufa mtu japo tunabadili viongozi kila kukicha. Maneno matamu na kujipiga kifua sana wakiwa nje lakini wakiingia ulingoni mambo ni yale yale...wanaishia kufumwa mumo kwa mumo na utando sugu wa mifumo kengeufu tuliyoachiwa...
 
Mchana wanaweka picha za mijoka inayo tisha usiku chui, simba yaani [emoji848]
Moudgulf na Mzee wa liver. Punguzeni picha za majoka. Wenye phobia za ukweli wanateseka mpaka wanatishia kuhama uzi jamani uwii mane lavusi mi indeed wallahi !!!. Afadhali muweke picha za mende na tandu tutavumilia [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…