Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Weengi walikua hawajazaliwa hapa.Mimi hii redio imenikumbusha nikiwa na mke wangu kipenzi kipindi kile damu yamotoooo.Nakumbuka ndio alikua amejifungua mtoto wetu wa kwanza ana wiki moja tuu nyumbani hata kupona vizuri hajapona.Tulikua tunaishi chumba kimoja, yaani unakaa kitandani unawasha jiko ukinyoosha mkono unafungua mlango(mlango ni mmoja tuu).Basi tulivamiwa na majambazi wakilenga kuiiba redio kama hiyo na jiko la mchina(yale yanayotumia kerosini).

Wale wezi walijuta kuja kwangu.
 
Mmh! enzi za stova hizo.. unazijua wewe?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu umenifurahisha sana japo umemalizia na stori ya mwizi mtu ambaye uwepo wake lazima huzuni ikutembelee...
Habari ya majukumu ?
Mungu ni mwema maisha yanasonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ