Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maneno ya kweli, siku nyingine waangalie aina ya chakula wanachokula wachezaji wetu.
Mchezaji anakula chpsi na kipaja cha kuku kisha unampa jukumu la kukabiliana na mtu anayekula kuku wawili kwa mlo mmoja!!!?
Haiwezekani kabisa
Ameongea alichosema Spika
Kwa Ndugai yupo sahihi kwa hiliView attachment 1141089
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…