capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
G n i g h t P p l
Good night tooG n i g h t P p l
Am good..Hey,
You good?
Ooh so sorry, get well soonNot too good,
How have you been?
Its good to see You, Khantwe.Ooh so sorry, get well soon
Have a good night tooIts good to see You, Khantwe.
Have a good night.
Kweli mkuuHuu ni mfano kuigwa. Kuna watu humu ukiisifia Kenya [emoji1139] au Uhuru utasikia hamia Kenya au wengine walithubutu hata kushangilia pale ambapo Kenya ilishambuliwa na Al Shabab. Tuache roho mbaya ya kuwachukia majirani zetu bila ya kuwepo sababu za kufanya hivyo. Mimi nimekutana na Wakenya wengi sana na wananiheshimu sana nami nawaheshimu sana kiasi cha wengine kunitania mimi ni Mkenya mwenzao. Roho mbaya na chuki za kutisha bila ya kuwepo sababu ya kufanya hivyo haihusu kitu.
CC: MK254
Katika sayari yetu hii ya dunia ambayo ni ya tatu ktk mzunguko wa dunia kuna aina kuu mbili za maji,waani Maji baridi (fresh water) na Maji chumvi (Salt water),Zaidi ya asilimia 3% ya maji yote yaliyopo duniani ni maji Baridi wakati asilimia 97% ya maji ni maji chumvi.
Jana na leo
Iikewisenipooooooooo
muda huu nimejipumzikia kwa mganga si unajua kesho wazee wa rangi ya chungwa tunakipiga na watoto wa turampuuuu.
japokuwa wale madada ni wabishi lakini kesho watamjua kungwi wa bashite ni nani hata akachelewa kupata mtoto
uholanzi 2 ndugu zako wa kimarekani 1
View attachment 1148214
Amun rawajinga pia ndio mtaji wa wanasiasa wenye kujali zaidi maslahi yao na vizazi vyao vijavyo
Hahahahabora wafungwe angalau tupumue
kwa misifa yao majitu yale wakibeba tena ubingwa ushindi wao watakwenda kusherehekea kwenye mbuga za chatoo
Hahahahautasikia mkuu analonga kiingilishi
sank yo so machi foo winnig the title and kaming here de la mbuga chatoo to see my lioni and twigari.
baadae mkuu wa wilaya ya chato bwana bashite atatoa salamu za pongezi.
naomba niwaambie wale wote wasioitakia mema serikali hii, hivi wanadhani bila ya uwepo wa serikali hii taifa la marekani lingelibeba ubingwa wa wanawake.
Hahahaha umenikumbusha ambush za kwenye Jumongambush za goguryeo ni motoooooooo
munaweza kujikuta nyote munakimbia bila ya nguo