Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sema siku hizi mambo haya siyafuatilii ningekuwa nimeshainyaka. Halafu Amber Lulu mzuri bila shaka pilau yake itakuwa maridadi ajabu siyo kama Amber Rutty [emoji16]
ina maana hii jamii ya amber imeletwa duniani kwa dhumuni la kufurahisha wazee wa nirushie pm.

amber rutty
amber lulu
amber rose
amber kim kardashian
amber sepetu
amber kugawa
amber bure ghali

baadhi ya nyakati ni bora unyimwe akili za juu ya kiwiliwili kuliko kunyimwa akili za katikati ya kiwiliwili
 
Aiseee bora hata sijaifatilia. Binti kuna nati flan zitakua hazijakaza au zimechomoka
Hata kwa kumwangalia tu huyo binti siyo mzima kichwani. Anahitaji msaada sema tu haya mambo ya mental health sisi ni mpaka uokote makopo ndiyo watu wanashtuka. Au may be anataka kuwa hardcore porn star...akienda kwa Trump itapendeza zaidi.
 
Hata akiokota makopo hawez pata msaada kamili zaidi ya kuendelea kutumika.

Huko kwa trump hawez tusua,yupo cheap sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…