Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Hahah! Itakua hivyo pia nimependa mfano ulivyotolea United maana na huyu wa sasa hivi Ole Sendeka namuona uzee unamfikia sasa hiviKocha anapata stress nyingi kutokana na matumizi makubwa ya hela za mwajiri anazotumia kusajili na kulipa mishahara.
Ikitokea umelipa hela nyingi kusajili maboya na usipate ufanisi uwanjani hilo linaleta maswali mengi kutoka kwa mashabiki na wamiliki wa timu.
Kwa mfano msimu uliopita kocha Mourinho alipata wakati mgumu toka maeneo hayo mawili hasa kutokana na usajili aliofanya ambao uliigharimu Man U mamilioni ya pound na haukuleta matokeo chanya
Hapa ni kuenda kwa kasi
Likes pekee sio kitambiUsiku wa kupeana
Kutoka nifike huku ni wewe tu sijawaisalimia maana nakuogopa.Huwezi kuukimbia ukweli huu.
Huku ni kusonga munasonga.. Kuna wakati nafikiri niko kwa like ya mwisho lakini wapi.Asee kumbe tunasogea nilishasahau