Nitaipa Mateso yataisha liniMaisha Yako Yangekua Filamu Ungeipa Jina Gani????
Poti umechemsha angalia huyu mtu amevaa nini miguuni na mikoni na usoni pia10+5*2
10+10
20
Uwiii hadi kwa mkeka aisee kule ni shidaMule sijawahi kupitia kabisa, msimu huu ntapita kote mpaka kule kwenye mkeka[emoji1]