Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,104
- 9,116
Asantee! Mambo ya summer hayo [emoji847]Mkuu mmependezana kweli !
Yaani nitafute hela,nihangaikie maisha ili yawe mazuri, naye Mungu asivyo penda dharau,anibariki kwa kunipa hela ya kula na pa kulala pazuri, yaani choo kipo karibu na chumbani, namaanisha waifu ana puu huku amekaa... HALAFU ASINENEPE!!!Si ndiyo kanona. Sasa unamwacha tena au ndo unazidisha upendo? Wanaume wengine bana !!![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1162806
Likes za usiku
Upendo wa usiku
Utaendelea kuzipokeaPipii za kumumunyaaaa usiku
We kaka mbona una akili hivi na busara, mvi tayari nini kichwani?Kwenye haya mambo ni kila mtu na falsafa zake (binafsi) na mamizigo aliyobebeshwa na jamii. Mfumo dume wanaume umetuharibu. Tunaumia tukichapiwa wakati sisi michepuko na kuchapa nje tunachukulia ni kama halali yetu.
Kama unachapa nje kwa nini ikuume sana ukichapiwa? Kama siyo unafiki ni nini?
Ni kama nazionea live kwa TV
Yaani nitafute hela,nihangaikie maisha ili yawe mazuri, naye Mungu asivyo penda dharau,anibariki kwa kunipa hela ya kula na pa kulala pazuri, yaani choo kipo karibu na chumbani, namaanisha waifu ana puu huku amekaa... HALAFU ASINENEPE!!!
Hiiiiiiiiiii.....
Raha ya mke awe na shukrani, anone, tako lijae, nguo zimbaneeee... Chupi ziwe zina mchosha asiwe ana vaa..... Jamani jamaniii mimi.... Aimisi yuuu tipwa tipwa wangu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niitafute miwani yangu niisome uzuri hii mambo! [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poti kwema?
Namshukuru Mungu kwa pumzi anayo nitunuku.Kwema kabisa poti, habari ya uzima?
Namshukuru Mungu kwa pumzi anayo nitunuku.
Tupo ndugu yangu
Kwema bro, sijui wewe.Mkuu kwema?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwema bro, sijui wewe.
Vipi ule mzigo umeupata unifowadie au nawewe koneknesheni zako zimekuangusha.
Haya bro, tupo pamoja.
Haya bro, tupo pamoja.
Nikiipata nitakukumbuka kwenye ufalme wangu.
Huyo bora bora asionekane.Kakakuona hajaonekana tu? [emoji16][emoji16]