Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nacheka kama mazuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nacheka kama mazuri
Makanisa haya ya kisasa bro yanaharibu sana ndoa. Walokole hawa wakimkamata mkeo sawasawa basi we mume huna chako. Imagine watu wanapangiwa mpaka staili za kugegedana. Eti kifo cha mende ndiyo staili ya kiBiblia na hizi zingine zijui dogii mara mbuzi kagoma hizo ni za shetani. Imagine unataka kumgeuza mkeo ulee dogii kwa raha zako anaanza kukemea "shetani ushindwe kwa jina la Yesu"...Shida tupu yaani...
 
Mungu anisaidie tu, nimeamua kujihubiria mwenyewe kila siku kila saa, Biblia i ubavuni mwangu.
Zimeanzishwa jumuia kwenye makanisa ni kero. Kama haukwenda kanisani wanakuja kudai sadaka nyumbani. Hata utoe sadaka zote na fungu la kumi uligeuze liwe fungu la mia kama haujajiunga na jumuia kanisa halikutambui. Ukifa shauri yako na "ba kipanga",lasivyo jenga urafiki na maboda boda ili likikukuta la kukuta wakuimbie 'parapanda..... '
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…