Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Malori ya mafuta yapo ya kutosha,ya mizigo yanapitia njia nyingine ila daraja likija yanaweza hamia hapo

Hamna meli,ipo kwenye ujenzi,saiv ni mwendo wa bus tu kupitia geita katoro etc
MV. Victoria nayo ilishakufa?

Nilisoma huko na meli hizo tulizitumia sana tena enzi zile wanafunzi tunasafiri bure. Those good ole days ...
 
"Sisi hatutaenda Mahakamani maana tunadhani wanaomtumia Musiba wanafanya hivyo kwa sababu za kisiasa, kwa hiyo tutashughulika naye kisiasa"- Abdulrahmani Kinana na Yusuf Makamba.
Mwenyezi Mungu atujaalie tuvuke salama 2019.
Na atujaalie 2020 ipite salama
 
Kaandika kwa machungu sana ....

Ila hichi kipande kimenishtua
(Ikiwa itanigharimu kifo niko tayari)
 
Mianasiasa. Inajuana hii. Just wait and see...
 
Hahahahahaha
 
Kaandika kwa machungu sana ....

Ila hichi kipande kimenishtua
(Ikiwa itanigharimu kifo niko tayari)
Ameamua kujiripua tu. Ni kweli tumefikia mahali ambapo ukitoa angalizo tu kidogo tayari unauliwa?

Kama kuna watu wabaya wakamteka huyu na kumfanyia alichokiapia tayari serikali inabebeshwa lawama hata kama haikuhusika. Tukiri tu kuwa hali si nzuri !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…