Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππππππππYaani mimi kaniambia amepona halafu anakudekea weweπππ
πππππππππYaani mimi kaniambia amepona halafu anakudekea weweπππ
Yani wewe mtoto hapa nasoma maandishi yako nashindwa kuzuia tabasamu lisitokee[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kudeka muhimu ujue[emoji28]
πππππTA kwema kabsa...[emoji2]
#hadiweweunajuakuhusutanga
#wakatalunyasiowatuwazuri
ππππππ BroUnamjua Mfalme Mswati wa Swaziland tunayepiga naye stori kwenye uzi huu.?
Jitahidi uzijue nguvu za Mfalme
Uuuhuuuuu! Bora umekimbia[emoji45][emoji45][emoji46][emoji53][emoji53][emoji125][emoji125][emoji125]
LikedLikes....
Wacha Maneno mingi we like tuWeka likes,thanks
ππππ naona unajipigia assist mwenyewe bro
ππππWakatalunya ni mashabiki wa Barcelona, wakiongozwa na mfalme wa jimbo la Catalonia Davet[emoji23][emoji23]
Hahah!Hahaha, nimekusoma.
Ila kuna himaya bado zina nguvu, na baadhi ya maeneo ya himaya husika huna ruhusa kupata mke/mchumba mpaka upate kibali cha Mfalme.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unafaidi bila kuweka matangazo broWakatalunya WOTE DUNIANI WANAFAIDI ILA KASORO MIMI
View attachment 1173859
Uzi huu haufai. Ukiondoka tu kidogo ukirudi yaani unashindwa hata uanzie wapiMadeni daah!
Simba mwendapole huyo. Nshamshtukia zamani sana. Wanaimba wimbo wa kijana mpole wakija kushtuka tayari vu bin vu laivu anafanya vitu vyake. Ni hatari juu ya hatari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Wewe unafaidi bila kuweka matangazo bro
πππ Mzee mwenzangu kweli?Bro tegemea kuulizwa na King hiko ni nini hapo nilipozungushia[emoji16][emoji16][emoji16]
#wakishuaView attachment 1173920
Ila uzuri wake wakati wa kulipa madeni unapata burudani sana, majamaa humu ndani wanaishi maisha mazuri sanaUzi huu haufai. Ukiondoka tu kidogo ukirudi yaani unashindwa hata uanzie wapi
Hahah! Hakika bro mimi ndio maana nawaita waigizaji tuSimba mwendapole huyo. Nshamshtukia zamani sana. Wanaimba wimbo wa kijana mpole wakija kushtuka tayari vu bin vu laivu anafanya vitu vyake. Ni hatari juu ya hatari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
(I hope hataiona hii. Tunaheshimiana sana !!!)
ππππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wooi, labda atakuwa amesaahau heshima ya ukoo inasemaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ bro nipo bhanaBro, Davet aliondoka hapa kwa madai kuwa anaenda kunywa uji.Ni mda sasa hajarudi, hujamuona popote?