Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe unafaidi bila kuweka matangazo bro
Simba mwendapole huyo. Nshamshtukia zamani sana. Wanaimba wimbo wa kijana mpole wakija kushtuka tayari vu bin vu laivu anafanya vitu vyake. Ni hatari juu ya hatari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

(I hope hataiona hii. Tunaheshimiana sana !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099])
 
Hahah! Hakika bro mimi ndio maana nawaita waigizaji tu

#wekapichazamessHatoonahii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…