Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwacha ajichanganye. Kitakachompata hatakisahau [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Anonimazi forevaaaa [emoji351][emoji350][emoji350]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti kajiunga kwenye kifurushi cha wanaomuogopa
 
Aisee ngoja nikimbie πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mimi nitoe humo. Hili ni gemu la vijana. Mimi huwa nachagizaga na kuchochea vimoto vya hapa na pale tu halafu navuta kiti na kuanza kula popcorn zangu...

Huku salama kabisa na Tunamshukuru Mungu. Dadangu....
Yu salama kabisa.
#huwanafurahisanawakigusaileyanyandazajuu
#halafuunawajibukamakunaukwelivileee
 
Chagulaga moja tu.....

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yu salama kabisa.
#huwanafurahisanawakigusaileyanyandazajuu
#halafuunawajibukamakunaukwelivileee
Hawa vijana ni kwenda nao pole pole.

Kashfa ya nyanda za juu kusini bado napambana nayo hapo hapa katikati niliamua kuwachanganya na nyingine ya Brazil. Sasa hawajui washike ipi waache ipi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…