Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unasikiliza za kina nani?
Hata wanaojaribu kuact hapa mwishowe huishia kuumbuka. Imagine mtu unajiita mgumu halafu kila siku huachani na maua waridi, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo. Whai?
Au sijui unajifanya una jimbo la kudumu lakini ukiona jimbo jipya nawe umo kinyang'anyironi. Kha !!!
Be real man...
#NakuaminiaBro
#UnazinduliwaKilaLeoLakiniBadoUnaongezaMajimbo
#Youdaman [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Aisee, hii ni ajabu kweli.Maajabu. Hawa jamaa katika kupigana kwao pembe zao zilishonana wakashindwa kutengana mpaka wote wakaaga dunia...
View attachment 1176009
Mgumu "dhaifu" anapokutana na kivuruge huwa anavurugika vibaya sana."Kivuruge" akija hapa utamuona "Mgumu" akiwa fulu fosi - lori la maua, aina mbalimbali za mvinyo, magauni ya bluu, viatu vya kila aina, pete na vicheko visivyo na mbele wala nyuma...
Come on bro....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iβm ugly
Heheh! Eti mpasheMpasheeeee...[emoji351][emoji351][emoji351]
Hana upole wo wote....
Mtishia himaya....
Na walikuwa wanagombania demu [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee, hii ni ajabu kweli.
Huwa anahaha mpaka ukikutana naye unamhurumia yaani. Hata kufunga mitumbwi yake sawasawa huwa anasahau. Minyavu hovyo hovyo tu dah !!!Mgumu "dhaifu" anapokutana na kivuruge huwa anavurugika vibaya sana.
πππππNa walikuwa wanagombania demu [emoji16][emoji16][emoji16]
Heshima yako ankooMgumu "dhaifu" anapokutana na kivuruge huwa anavurugika vibaya sana.
Ahsante mama. Tupo pamoja leoFamilia inaendea vizuri ndugu,karibu tumalize siku ya nane nane.
"Kivuruge" akija hapa utamuona "Mgumu" akiwa fulu fosi - lori la maua, aina mbalimbali za mvinyo, magauni ya bluu, viatu vya kila aina, pete na vicheko visivyo na mbele wala nyuma...