Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo tabu ya jukwaa la siasa, kuna watu wapo ughaibuni wanaanzisha hoja chonganishi, hoja zinazoibua povu la kashfa na matusi, ukiamua kutililika ni mwanzo wa kutafuta ugomvi na wasiojulikana.
Nakuona siku hizi kama umepunguza uanaharakati. Kulikoni? Umekuja likizo Bongo nini na unaogopa wasiojulikana halafu ukirudi kwako unalianzisha tena? [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
 
andjul, kuna mjidada furani zama zile, toka kabila lile lile, alikuwa mitaa ya Njaro, jimama leupe, jinene, msambwanda wa kufa mtu.
Hapo palikuwaga na foreni ndefu, watu wa wilaya yote ya Tmk walikuwa wanapishana kwenye hicho kibanda.
Daaa, Uhenga mtamu sana jamani [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
moudgulf kuja pande hii
Hata sijui taarifa ya ujio wa ingizo jipya zilikuwa zinasambaaje?!! Mnajikuta mmejazana kwenye kona kusubiri mtu atoke huku shati liko kichwani ili usitambulike kirahisi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
vijana njooni muone mhenga alivyopambana

#mizikimingineminene
#kamayanumbyhahaha
 
Herrera apata pigo!
Ander Herrera atalazimika kusubiri kwa muda zaidi ili kuanza kuichezea PSG.

Mchezaji hyo wa zamani wa Man Uniuted ametuma ujumbe wa twitter wa picha yake akipokea matibabu ya jeraha la mguu alilopata katika mazoezi siku ya Jumatano, ambalo litamweka nje kwa wiki nne au tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…