carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kiduku ana shida sana[emoji23][emoji23]Haha
Kitendo nilichomfanyia huyu muuza samaki Ferry hatokisahau kamwe
Nmetoka ofisini mapema baada ya kumaliza meeting na watu kadhaa walokuja na huu Ujio wa SADC. Nikaona nipitie GYM mara moja ku train maana sipendi kuwa bonge. Leo nilikuja na Ford Ranger nyuma nimeweka vifaa vyangu vya mazoezi. Si unajua tena gloves,track suits,raba ,maji na taulo la kujifutia...www.jamiiforums.com
King[emoji870][emoji16][emoji16][emoji16] Screenshot muhimu
Imajini ndo umepewa unalimeng'enyua sasa...Hata kifo hukikumbuki dadeki [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kila mtu ana mizigo yake hapa duniani kamanda...hata kama ni myepesi namna gani [emoji16][emoji16][emoji16]mzee wa mizigo
[emoji119]
Carba hujambo?Kiduku ana shida sana[emoji23][emoji23]
Aje ninge
Zamani huko Koromije ilikuwa lazima umsahaulishe/akupe kitu mf. shanga, kipande cha kanga au kitambaa cha kichwani...Siku akija "kukikomboa" unamsahaulisha vitu vingine tena...msahaulishano ulikuwa hauishi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanawake huvutiwa zaidi na wanaume mwenye maumbo makubwa, kiuno flani chembamba, mabega yenye nguvu na kifua kipana.