Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kakirudi katakuja na ari mpya na misamaha itakuwa nje nje. Iginoa listi hainihusu...Naona unazidi kujikita kwenye shimo la ignore list. Nakuhurumia sana poti! [emoji16][emoji16]
Kiingereza ni pasua kichwa walahi
Tuna mkumbuka Esta wetuJizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeniona?![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Chochea volume mpaka mwisho kabisa...Hata Kakobe/Mzee wa upako wasipo kuwepo kanisani mahubiri yanaendelea kwa Cd... Kuna haja ya kuongeza sauti????? View attachment 1192245
Hivi unamjua Mpendwa au unamsika? Kutana nae maeneo yake upate za uso [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kakirudi katakuja na ari mpya na misamaha itakuwa nje nje. Iginoa listi hainihusu...
#AchiaNywilaPoti
Usijali mpendwa nitakustua japo sitegemei tena kama ujinga kama ule utajirudia tena.Mpendwa kuna sehemu nakuonaga unawapa tuisheni wavulana wasio na adabu, siku nyingine ikitokea kama ile ya juzi na jana ya kutajana na kuchorana visura vyao nakuomba uniitage, ila ikiwa tu utakuwa una pata nafasi... Hata kama ni ubuyu hakuna ubaya... Huwa nami namung'unya mara chache chache...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]ankooKwa hisani ya NumbisaView attachment 1192247