Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake nyie hampaswi kuogopa kiasi hicho, majukumu makubwa mnayopitia kujaza ardhi hii ni magumu kuliko vyuma vya kung'oa meno
[emoji23][emoji23] na ile sindano ni inaumaaaa.
Me nilipewa kidude nikavaa machoni, nikabaki kusikia vile vyuma tu vinavyogongana.
Usiombe ufikie stage ambayo ni lazima litolewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…