Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😀😀😀😀😀😀Hii tabia ya kujenga katika mawazo fulani yuko hivi siku ikichomolewa betri mwisho mnakuja kutukandia mbaya.
 
😀😀😀😀😀😀Hii tabia ya kujenga katika mawazo fulani yuko hivi siku ikichomolewa betri mwisho mnakuja kutukandia mbaya.
binafsi mpaka muda huu siamini ya kwamba wewe unaumwa na jino.
haiwezekani mwanadamu anayeishi dubai asumbuliwe na jino haliyakuwa hali mihogo ya kuchemsha na mihogo mibichi kama sungura.
au nimekosea SHIMBA YA BUYENZE ?
😛 😛 😛
 
Mimi nipo Vingunguti kiembe mbuzi hili mada ya Dubai kaileta Simba ya buyenze aulizwe
 
Sukari ni moja katika familia ya Carbohydrates.
Carbohydrates ndio chanzo kikuu cha nguvu katika miili yetu. Hata hivyo, sio kwamba carbohydrates zote zinaweza kunyonywa au kutumiwa na miili yetu kama ilivyo. Kabla ya kuendelea hebu tuangalie aina za carbohydrates.
 
Carbohydrates ina aina kuu tatu, Monosaccharides, Disaccharides na Polysaccharides.
Monosaccharides kwa jina lingine hujulikana kama sukari rahisi (simple sugar) ambayo humeng’enywa moja kwa moja bila ya kuvunjwa vunjwa katika mfumo wa mmeng’enyo.
 
Aina hii ya sukari hutokea katika matunda, mbogamboga na asali. Kutokana na kwamba aina hii haihitaji kuvunjwavunjwa basi humeng’enywa haraka sana na kuingia katika mfumo wa damu mapema sana pindi tu mtu atakapoila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…