moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wacha we!
Astaghfirullah!tumia mafuta ya maiti yanaondoa tatizo la nywele kuharibika.
no questions pleeeeasseee
huu uzi umeshaniletea athari kubwa sana,Hahahaha, mzee nilikuona unawajazia likes, nilikuwa nawaruka na mitongozo yao[emoji23][emoji23]
😂😂😂 Ametishaaa...Teh teh teh, umeona mistari hiyo ya kijana mpole
kwani kwenu hamutumii karafuu?Astaghfirullah!
✔✔✔1.kata ncha za nywele zako
kukata ncha za nywele zako kunasaidia kufanya nywele zako kujizaa upya, mara nyingi seli katika ncha za nywele hufa. seli zinapokufa huzui nywele zinazozaliwa kushindwa kustawi vyema na hivyo kuzifanya nywele zako kukosa afya. japo wanawake wengi huwa hawapendi kukata ncha za nywele zao wakihofia nywele zao kuonekana fupi. lakini ukweli ni kwamba unapokata ncha za nywele zako unasaidia nywele zako kupata nafasi ya kukua vizuri na kuwa zenye afya nzuri na kuvutia.
Umesema maiti.. karafuu ndio maiti,? my badkwani kwenu hamutumii karafuu?
mbona umeshangaa?
Numbisa bwana! topic ya ushuziiiiii dah!😁9.Ukiubana Ushuzi,Utakutoka Usingizini
Hata ujitahidi kuubana vipi,ushuzi utatoka mara utapokua umepumzika,hasa ukiwa umelala.
🤣🤣🤣🤣3.Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku.Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.
Wala hata sikuwa na habari.
Me nilishtuka pale jina LA kiume afu kimwandiko kipo kike kike [emoji23][emoji23] watu wa MMU bana
Mara chacheHuwa unaendaga MMU
typing error
ngoja aje mwenyewe uone balaa lake kwa kumwita Kantwe
teh tehUmesema maiti.. karafuu ndio maiti,? my bad