moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Unajua utaratibu wa kutoa nyimbo mpya kila mwaka nao haufai.
Kama anavyofanya ndugu yetu Diamond.
Nadhani ukitoa kazi nzuri kama hiyo ni vema uwaache mashabiki waendelee kuifurahia hata kwa miaka mitatu au minne hivi kabla hujatoa nyingine
hata ya punda sijawahi kunywa.Kwa hiyo huna ng'ombe ila maziwa unakunywa si ndio?
Kwa bei hiyo itabidi Moudy akufundishe kiujirani tu hamna namna! 😂Hahahahaha lol! Usisahau kwamba customer is the BOSS. Sasa tuna deal au hatuna nianze kuandaa material ya kuchukulia notes za kuomba maji kiarabu? Naweza kuongeza kujua namna ya kuuliza kama nimepotea ninapotaka kwenda 😎😎😎
Kwa bei hiyo itabidi Moudy akufundishe kiujirani tu hamna namna! 😂
mkuu nitawapendaje CCM haliyakuwa wamenisababishia nikose mke wa kiarabu pamoja na shamba la mikarafuu 100 kisiwani pemba endapo maalim seif angelitangazwa kuwa raisi wa zanzibar.
pumbavu zake mzee wa bao la mkono bwana jecha.
sijui alitumia sabuni ya family medicated siku ile aliyofuta uchaguzi?
CCM wameshinda na umasikini wangu umerudi vile vile.
Duh! Watford wanapewa penalty [emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Colee, mie kimbau mbau
Salaaam moudy, za weekend!Salaam Happy
DaaahPale mchepuko wa bwana harusi anapotumika kumremba bi Arusi[emoji849]View attachment 1208484
Usiku wa raha [emoji12]
Hujawahi kunywa maziwa[emoji12][emoji12][emoji12] si unakosa virutubisho muhimuhata ya punda sijawahi kunywa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwelii, ila vibonge wazitooo ama umeridhika nao[emoji13]Usinifanyie hivyo ujue [emoji23]
Naomba nikufundishe mimi, japo hata sijui unataka kujifunza nini naahidi sitokuangushaDuh! $80 per hour we have a deal.