Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo ni safi, washauri wake nimewapenda kwa tendo hilo.
Ni kama alivyokuwa anafanya mfalme wa Pop Michael Jackson
Unatoa kazi kisha unatulia miaka miwili mitatu.
Nadhani hata kazi yake nyingine inayokuja itakuwa kali zaidi maana amejipa muda wa kutosha
Nadhani ni miaka miwili au zaidi tangu album yake ya mwisho.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hukuchukua picha Mkuu? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
mkuu unataka kuniingiza kwenye mtego wa Depal
umesahau kama mchana niliambiwa niweke picha yangu nikatoa kisingizio sina simu ya camera.

hivyo basi picha ya huyo msichana aliyepaka makeup sura ikawa kama amepaka unga wa dengu sina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…