D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Ata msimu huu watapoteza tena hawana pumzi ya kukimbia mbio ndefu haomwaka jana mulibahatika walipoteza point ovyo sasa sijui mwaka huu kama watarejea tena kosa.
naomba ukalale kabla moudgulf hajatoka kwenye shimo lake.
jamaa ana makero kama mlevi wa kipemba
Yani nimeandaa na picha za ushindi....but whhyyyyKween adi wewe?