moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji818][emoji818]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#naombaujekunionesha
#Blanketlakupumua
Arusha mvua inanyesha wapi? Me naona vinyunyu vinashtua na kukata
HahahHapo ilipokua busy, sio mimi niliyekua naongea naye.
#NawekaAnsadiSawaTu
Huyu sidhani kama Christmas atasherehekea vizuriKocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer ana wakati mgumu kulinda kibarua chake baada ya kushinda mechi tanokati ya 21 tangu alipoanza kazi Old Trafford.
HahahaYaan bae wako hafai eti uende chelsea aiseee ni sawa na kutoka fly emirates to bombandia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa kajitambua sasa... bado yule Kirkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeehHahah
Hapana, nipo sawa bae,umeniondolea maumivu yote ya Man U
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]