Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hehehe! Nikajua unataka kumuingiza ndani ya 18 umbutue shuti kama la yule mtu mweupe dhidi ya United au lile la Modric
namuheshimu sana lionel messi (baada ya man utd naishabikia barcelona)
namheshimu sana ronaldo.

hivyo basi siwezi kupoteza muda wangu kuwafanyia comparison ya kipuuzi hao wanadamu wawili magwiji labda niwe na hamu ya kushuhudia ligi ya maneno kutoka pande mbili hasimu kama ilivyokuwa leo.

sijui malaika gani alimshushia wahyi bwana Bradha mchana wa leo, kibaya zaidi alikuwa peke yake na ningelimuunga mguu na mkono Numbisa mpaka kucheleeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…