Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa binafsi naheshimu maamuzi yako ila kwa hapa uzini sijaona mtu/watu wanaozuia utani n.k kwasababu tuu eti wapo kwenye 'couple'.Na kama itakuja kuwa hivyo hata mimi sitounga mkono tabia ya hivyo.

Hili lingine ni dukuduku tuu natoa nisiache vitu moyoni.Yaani hivyo unavyokataa ndio kama unaniambia niendelee sema ndio hivyo tena πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ

#KamaVipiNitahamiaManU
#KwaniSiMjiMmojaTuuNaCity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…