Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii jamaa inaumia sana kukosa ballon
Anazo ila maswala ya kuzungumzia ndevu sijui zinafanana na nn sijui tusingewezanaπππHee kwan hana ndevu au wewe uliwaza ndevu za wapi?hehehehehehee
Maswali gani haya bro?
Mbona majibu yanaonekana humu?Kwani unamjua bae wa jirani myoyambendi wewe?
Ndo raha ya vita,unatandika panapoumaAnazo ila maswala ya kuzungumzia ndevu sijui zinafanana na nn sijui tusingewezanaπππ
Hivi kuna mwaka ata alishawahi kuingia kwenye ile top3?Hii jamaa inaumia sana kukosa ballon
Yaani kwa kifupi ni kwamba kwenye kila match moja ya timu ya taifa Messi kafunga wastani wa magoli mawili na huyo mtu wenu 1.7Hehehehe si wewe ulisema tuishie pale
#rahaYaUbishiChumvi
#nimemdakaMkatalunyaMuoga
Numbisa bro.Naulizia dem aliyekosa ili nimfariji
Leta vitu kingππππ π
Hapana bro sio yeye heheh!Ndo yule dem
Jinsi unavyozidi kukomalia ndo jinsi ntakavyofata nyayo za jakito na ledada and am seriousNumbisa binafsi naheshimu maamuzi yako ila kwa hapa uzini sijaona mtu/watu wanaozuia utani n.k kwasababu tuu eti wapo kwenye 'couple'.Na kama itakuja kuwa hivyo hata mimi sitounga mkono tabia ya hivyo.
Hili lingine ni dukuduku tuu natoa nisiache vitu moyoni.Yaani hivyo unavyokataa ndio kama unaniambia niendelee sema ndio hivyo tena πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
#KamaVipiNitahamiaManU
#KwaniSiMjiMmojaTuuNaCity
πJinsi unavyozidi kukomalia ndo jinsi ntakavyofata nyayo za jakito na ledada and am serious
#ItakuaByeByeUziWaLikes
Huyu mtu wetu hajawahi kustaafu kukimbia auibu ujue kujidaisha koote kumbe anataka kubembelezwa pheewYaani kwa kifupi ni kwamba kwenye kila match moja ya timu ya taifa Messi kafunga wastani wa magoli mawili na huyo mtu wenu 1.7
Numbisa bro.
Nilikua sijakuelewa.
Heheh! Kama hakijatokea kitu mzeeLeta vitu kingπππ
Hapana bro sio yeye heheh!
Demu anajua mpka first eleven ya Burnley... anaijua mpaka kasimpasa ya Uturuki πππ hapana aisee
Kiding
Kijana jiheshimu humu sina buzi nililolichuna kiasi cha kuanza kuitwa demu. Sijawahi kukuvulia nguo extra careful