Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Subiri utahengeka tu. Utakwenda wapi? Tena mimi nakuombea uhengeke kabisa miaka 100 na kitu huko [emoji1545][emoji1545]
Subiri utahengeka tu. Utakwenda wapi? Tena mimi nakuombea uhengeke kabisa miaka 100 na kitu huko [emoji1545][emoji1545]
Siamini kama we ni Mhenga. Unatufunga kamba bana. Kwema lakini. Kawe na siku njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo - JamiiForums
Jamani kweli siku hazigandi. Nakumbuka enzi hizo hakuna utitiri wa redio stations ukitaka kusikiliza huna option kama kipindi kilichopo hukipendi uzime tu radio. Hata mfumo wa vipindi ulikuwa tofauti sana na huu wa sasa...enzi hizo vipindi vililenga kutoa elimu zaidi kuliko burudani. Kama...www.jamiiforums.com
Bahati mbaya sina namna ya kukuaminisha, mimi mzima na uwe na siku njema piaSiamini kama we ni Mhenga. Unatufunga kamba bana. Kwema lakini. Kawe na siku njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji125][emoji125][emoji125]tayariiii.... [emoji350][emoji350]Ariririririuuuu [emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444]Hakuna madhara mpendwa.
Kaalùmbu=dada, lugha ya kwetu hiyo.
Ingawa sijui wenyewe mmekusudia nini [emoji2089][emoji2089][emoji2089].
Nimedandia treni ya Tazara law mbele[emoji1787][emoji1787][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Kalumbu = ndugu wa damu wenye jinsia tofauti kutoka kwenye ngazi (mama, mama mdogo, mama mkubwa, mjomba, baba, baba mkubwa, baba mdogo, shangazi) moja ya uzao.Kikwetu ni utambulisho wa mwanzo unaofuatiwa na maelekezo ya kina. Mfano:- Ilumbu gwake gwake ku nna unnandi = ni kaka/dada kwa mama yake mdogo.Hata katika Kisukuma kalumbu ni dada. Hata miye niliona nikakausha tu.
Hahaaa, hujakosea kabisa ni hivyo tunamaanisha pia "Dada kaka"Kaalùmbu=dada, lugha ya kwetu hiyo.
Ingawa sijui wenyewe mmekusudia nini [emoji2089][emoji2089][emoji2089].
Nimedandia treni ya Tazara law mbele[emoji1787][emoji1787][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ipo jukwaa la palaceKipindi naijua jf kuna nyuzi yake ya 'self respect' nilikuwa naifatilia mno baadae ikanipotea
Kwa Numby kuna madini yako 🔥🔥🔥