Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Shikamoo Kakaangu mpendwa.....usikubali kabisa wakuite Bro nisije nikakosa wifi hivihivi ππ. Mimi ndie dadaako pekee humu.Mimi siyo kaka yako mpendwa. Hilo nililikataa mapema sana. Nina dada mmoja tu humu (Kgothalo). Kwani wakitufungisha ndoa ya mkeka kuna madhara yo yote mpendwa.
ππ[emoji23]
Uweke kambi kabisa.Ooh, cake ipo ntakutumia hata Kwa email[emoji1] [emoji1] ,thank you nimekaribia!
kumekucha bro, hbr ya asbh.ππ
kumekucha shemejiB.M - Lazy song πΆ
Hahah! Bradha hatii neno hapoRonaldo amefunga goli lake la kimataifa la 94 β½ na 699 β½ kwa klabu na nchi
team ndevu nyingi mupooooo
ndevu kama steel wire za kuoshea masufuria
Nashukuru Mungu bro ila mafua kwa mbaaali sana, vipi wewe hapo?kumekucha bro, hbr ya asbh.
nile sembe asubuhi kwani mimi ni msukuma?Hahah! Bradha hatii neno hapo
Wapi unapatikana bro tukapige sembe π
Salama pia, pole aisee.Nashukuru Mungu bro ila mafua kwa mbaaali sana, vipi wewe hapo?
Acha uvivuB.M - Lazy song πΆ
Bonge moja la piniCassidy ft R Kelly_Hotel
Acha tu kwa Leo niwe mvivu π΄Acha uvivu
πππnile sembe asubuhi kwani mimi ni msukuma?
Ronaldo amefunga goli lake la kimataifa la 94 β½ na 699 β½ kwa klabu na nchi
team ndevu nyingi mupooooo
ndevu kama steel wire za kuoshea masufuria