Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haiwezekani kutopata maadui bro. Watu tunapata maadui hapa kwenye uzi na hatujuani sembuse huko kitaani laivu?[emoji16][emoji16]Mtu aliyefeli ni yule ambae hapati maadui
Na baridi hii full kumbembelezwa,tulia maombi yake yatimieMan U wakishafungwa,,, what's next bae?
Ok, sikuwa nafahamu hili bro..video bomba sana
#MyBeautfulDarkTwisted
Wenzetu walishaendelea kitambo bro,,viongoz wangap baran Afrika wanafanya madudu lakini bado wapo madarakan?Kwa wenzetu huko. Utamaduni mzuri. Ukiboronga kidogo tu unaachia madaraka. Ricky Perry, waziri wa nishati wa Trump kajiuzulu. Kosa lake? Kumshauri vibaya bosi wake kuhusu skendo ya Ukraine inayotishia hata kumwondoa madarakani.
Kwa nini inakuwa hivi? Mimi naamini kuwa, pamoja na ukomavu wao wa demokrasia, wanasiasa wao wengi mara nyingi siyo hohehahe. Hawategemei vyeo vyao ili kuendesha maisha yao. Wengi wao wana pesa zao tayari na wanakubali vyeo hivi kama priviledge tu ili kuimarisha profiles zao, na kukuza majina ya familia; na kujenga destiny. Ni tofauti sana na sisi huku ambako siasa na uongozi ndiyo mtaji wa mtu anaoutegemea kumtajirisha. Akijiuzulu atakwenda kutajirikia wapi?
Mpaka leo huwa namshangaa Nyerere kwa kusisitiza kuwa ili kuwa kiongozi ilikuwa lazima uwe masikini; na wakati huo huo anakutegemea uwe mwadilifu kweli kweli usiibe. Ndiyo maana hakuwa na mfuasi wa kweli hata mmoja katika itikadi zake hizi za ajabu....
View attachment 1236934
Mmh hivi mpendwa una maadui kweli kwa jamii forum.Haiwezekani kutopata maadui bro. Watu tunapata maadui hapa kwenye uzi na hatujuani sembuse huko kitaani laivu?[emoji16][emoji16]
😂😂😂😂Sawa tafadhali usiipigie punyere maana vijana mna mambo mengi
Ni mtazamo wako, me naiona kwa mtizamo huo wangu.
Kasema atanipoza,nipo nasubiria wallahNa baridi hii full kumbembelezwa,tulia maombi yake yatimie
[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu futa hii comment yako nami nifute yangu asiikute Capitalpool hii comment [emoji16][emoji16]
Hey Babe'Nini tatizo Babe?
[emoji23][emoji23][emoji23]pole pole tutafika tuThis is the new Hawachi I am talking about guys [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bila kusahau Graduation#2010
Nataka uwe adui yangu mpendwa ili baadaye tuje tupatane tuishi pamoja raha mustarehe milele na milele [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mmh hivi mpendwa una maadui kweli kwa jamii forum.
Hey Babe'
Naambiwa DPP kaibiwa Computer.
Nashindwa hata kufikiri hapa. Inawezekanaje?!.
Anakuja kwenye uhalisia sasa anataka kuachana na maigizoThis is the new Hawachi I am talking about guys [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umekosa nini Hawachi?Hahahaha futa hii comment kwa kweli nimemkosea sana capitalpool leo
AmenAlmighty. Protect us from those who are trying to harm us & have bad intentions towards us. Keep our hearts from fear & fill it with love & goodness. You are indeed our refuge & strength! Surround us with those who will empower us. May You always be our Guide & watch over us! Amen..!
Marahaba sis. Unaendeleaje huko? Hakuna mvua na baridi huko uliko?Bro shikamoo [emoji4][emoji4]. BAK (VE) unatafutwa huku