Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah kiunzi kizito lakini naamini watasikia maombi yangu vijana wa Ole,
#kwakovyotesawailababanitanβgarisha zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafunga kuanzia sasa mpaka kesho ili maajabu yatokee. Yaani hili litakuwa jambo jema ajabu. Tayari nimeanza kukemea na kunena kwa lugha hapa....ooooh sweet Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mpango wako wa kunigombanisha na king nimeushtukia.Kamwe hutafanikiwa.JUST IMAGINE JUST IMAGINEEEE!!!!
MABIBI NA MABWANA
kuelekea lile pambano letu pendwa kabisa siku ya kesho pale old trafodi
Watu wameshaanza kuweka bet tamu tamu kabisa
Bet kubwa kuliko yote ni ya Our beautiful onyinye carba
Bet iliyozima mapovu yoote yaliyoandaliwa na esta kama kupooza machungu ya huo mpambano.mtamu kabisa
Wakati tukisubiria mechi yetu pendwa tupate matangazo kidogo toka kwa bradha anayechokoza himaya ya king mswati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napinga kwa manguvu yote comment imechakachuliwaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu sema tusikieNatamani kusema kitu lakini nashindwa [emoji3]
[emoji847][emoji847][emoji847]Asante sana mtoto mzuri, vibe zangu zote zipo kwako ukisema su Tu napigana mpaka na kundi
#nakuelewasananaunajua
#kuwaganaweweilikuwaganizaidiyaushindinamileleitakuwa
Hizi taarifa umempatia na Ninge??Nyie man u ndio hamtaamini vile mtakavyo angukia pua πΆ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechi ilikua.simple ile basi tu ajali kazini
Ashasema, kama hujasikia shauri yako.Hebu sema tusikie
[emoji23][emoji23][emoji23]weeeMkatalunya asikwambie mtu huyo ndiyo mwanamke ambaye hata kama sikuwaga mtu wa social media ila mixer hashtag za Drunken love
#haposidekitukijpmhapompakacdzadjkhalid
Hahah!Ndio bro, naimani mambo yatamnyookea.Sitaki kabisa kutia neno nisije mwaribia.
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Woooii[emoji23][emoji23][emoji23]
NiceeeDada TH, unaangalia game yetu au?
Salaam kaka ake[emoji23][emoji23][emoji23]
Saaaanaaaaa kasi yake sio poa 120 kwenye konaHawachi anakuja kwa kasi sana , hahahahahaha
Mzingatie Mkatalunya πHebu sema tusikie
Wozaaaaa[emoji119][emoji119][emoji119]Wewe unajua haiwezekani mimi kukuacha wewe ni sawa na kujiacha mwenyewe [emoji3059]Dunia pekee Ninayo weza kuishi kwa raha ni Dunia ya wewe