Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kuna mtu anafanya mchezo sasaπππ
AnajuaHizi taarifa umempatia na Ninge??
Haya shem,Anajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enzi za pete za visodaNaumia moyo ukinikumbusha hizo enzi carbamazepine niweke hata spare.
Ngoja nikae kando kwenye harakati zako ππKuna mtu anafanya mchezo sasa
πΆπΆπΆ eti nani?Haya shem,
Wkend inasemaje pande hizo?
πππππππ ntaiwinda saa nne kamiliNtakuvizia saa tatu kamili
Hamna harakati hapo.Ngoja nikae kando kwenye harakati zako ππ
Unajua City anapiga jitu huko?
Huku kwema kabisa, tunapiga mtu huko premier league.Hivi si upo man city eeeh?πΆπΆπΆ eti nani?
#Wkend iko poa, vipi huko kwenu?
πππππππ ntaiwinda saa nne kamili
Unapitwa sana, kuna mpira mkubwa sana unachezwa na CityHamna harakati hapo.
Ndio bro, japo siangalii game.
#nawazaNiweShemejiTuuHumu
Huyu X wangu kabla ya kuwa Mgumu ndiyo alikuwa kakabidhiwa nchi mpaka katiba anatunga yeye, ghafla akanipiga chaga since then nikawa Mgumu mpaka Leo ninavyo kwambia lakini Nina moyo na Mimi tena wa nyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]