Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
hahahahah, salama bro?
Yaani juzi kidogo ungekuta manyoya huku[emoji3][emoji3][emoji3]
😆😆 ni mwanzo huuMfilisti wewe ni mwisho
Hehehee haka ka wimbo ka juzi juzi hivyo usijidaiBana bana 😂😂😂😂
Si ilikiwa hivi 👇👇
Tumpeleke hospitali asije kusema kwa baba yake
Yesa yesa yesa yeeee
Yesa kidogoo
Yesa yesa yesa yeeee
😆😆 imekaa kama remix hiiUkuti ukuti wa nazi,
Tanga serema iyaaa pilipili kidonge iyaaa
Au mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa na nini na nini na gari na gari,tumpeleke hospitali
Enzi hizo raha
King na queen wake bila kusahau ninge na bae wake hata hawaelew kitu hahahaa
Kabisaaaa heheeee😆😆 imekaa kama remix hii
nafkiri inaimbwa hiviKabisaaaa heheeee
Yeah kuna sehemu waliimba hivyo kuna sehemu tulitenganisha kukawa na nyimbo mbilinafkiri inaimbwa hivi
Ukuti ukuti
Wanini Wanini
Wa mnazi wa mnazi
Mwenzetu mwenzetu
Kagongwa kagongwa
Na nini Na nini
Na Gari Na Gari
Tumpeleke hospitali asije kusema
Kwa mama yake
Yeeesa yeeesa yeesaa
Yeah
kula mchicha kwa wingi 😀Yeah kuna sehemu waliimba hivyo kuna sehemu tulitenganisha kukawa na nyimbo mbili
Uzeee huu kusahau muhimu
machale yananiambia PSG anakufa leoSijui nimuombee nani kipigo
Si tuliimba "Tumpeleke hosp. asije kuchapwa na mama yake" Yesa yesa ...nafkiri inaimbwa hivi
Ukuti ukuti
Wanini Wanini
Wa mnazi wa mnazi
Mwenzetu mwenzetu
Kagongwa kagongwa
Na nini Na nini
Na Gari Na Gari
Tumpeleke hospitali asije kusema
Kwa mama yake
Yeeesa yeeesa yeesaa
Yeah
Kazi ipo...
Father of the Year [emoji1545][emoji1545][emoji1545]