D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Poa sana Bro,Cool bro,, mambo vp kaka?
Hapana carba,, sio wa kwanguEti huo mkono hapo ni wako
Asking for a friend[emoji124][emoji124][emoji124]
Ipo poa bro, mawingu kwa mbali kuna kila dalili za kuwepo mvua baadae..Poa sana Bro,
Vipi hali ya hewa huko?
😁😁😁😁Hapana chezea nguvu ya ile kitu mtasomesha tu kwa lazima au hiyari.
Mh!!😁😁😁😁Hapana chezea nguvu ya ile kitu mtasomesha tu kwa lazima au hiyari.
kazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-
- moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu
- BAK na fragaria nina wasiwasi ni mtu mmoja ndio maana wote wamepotea muda mmoja
- shimba ya buyenze na mshana junior ni mtu mmoja mwenye nafsi mbili
- davet na bradha ni mtu mmoja
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Esta wewe sio wa kunifanyia hivyo lkn.
Mwaka huu ile sabufa yangu huenda nikaitupa.
Hapa Baridi, muonekano wa anga ni mawingu pia.Ipo poa bro, mawingu kwa mbali kuna kila dalili za kuwepo mvua baadae..
Huko hali iko vipi?
Mnatapatapa kweli[emoji23][emoji23]