carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hii hapaHa ha
Miguu ipi tena?
Hahah acha nimwambie mwenyew hapa kuwa amesifiwa[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndo kazi yangu
#unamikonomizuri[emoji125][emoji125]
Heheeni mwendo wa kuvaa wigi mpaka anapokoga sehemu yenye kioo
πππ alafu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]hawa wakatalunya sijui wakoje na ninge kaiga tabia zao
#freedepal
#freeTh
Hiyo ni lunch,breakfast ama??
Roho iko chelsea ila moyo man umbona anajifanya kushabikia chelsea?
Anaza tango pori tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe!!Hahah acha nimwambie mwenyew hapa kuwa amesifiwa
Achia nywila kijana[emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23] alafu wewe
Hii miguu ni yako na hili halina upinzaniAnaza tango pori tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125]
kuna mchina fulani siku ya kwanza kupata kifungua kinywa cha zanzibar mix ndio alipost kwenye kitovuti chake.Hiyo ni lunch,breakfast ama??
πππ kwani hajaona?Huu mkono huu bae fulan si aombe tuone kucha hahaha
πππππππππππHalafu bae kapotea kwenye uzi wetu jamaa pengine kamzuia asichat nasi kuwa na bae humu yataka moyo ππππ
Acha fujo wakishua ππ[emoji23][emoji23][emoji23] you seeeee in nigerian voice
Yaan wakishua wote wamepotea mpaka wanaacha mshangao
Ndo maana sitaki kuwa na bae JF ebooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Si bae wako jamani[emoji23][emoji23][emoji23]πππ kwani hajaona?
πΆπΆπΆπΆπKabisa yaani,mkono mkono
Nimekumbuka na ile selfie yake[emoji119][emoji119][emoji119]
#hataakikataahuumkononiwake
#akibishaabishekwapicha[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23] finally umepewa nywilaAcha fujo wakishua ππ
Ndio nauliza kama ile comment yako hajaiona!Si bae wako jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeNumbisa kuja hapa mara moja.
nilikwambia myoyambendi na moudgulf ni ndugu lakini ukaendelea kutokuniamini.
tayari muda huu washapeana codes ya kwenda kula cha mchana.
kabati limeanguka
hiyo account ya myoyambendi muda huu simu imeshikiliwa na ndugu yao wa mwisho asiyejua kuandika ndio maana hujaona post yake.
hahahahahahaaaaaaa