moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
mbona muhenga wewe unaniangusha kwa makusudi?
humo ndani muna mchanganyiko wa vyakula tofauti mfano mbatata, mayai, muhogo, nyama choma.
Shetani lengo lake ni kutawala dunia. Huwezi kutawala dunia bila elimu!
Shetani anajua kwamba sisi ni warithi wa wokovu na kwamba dunia hii ni kitu kilichoahidiwa kwa Ibrahimu na watoto wake. Sisi wote ni watoto wa Ibrahimu. Anajua kabisa kwamba baadaye sisi ndiyo tutakaokuwa watawala halisi wa dunia hii. Hivyo, anajitahidi kwa kadiri ya uwezo wake wote ili hilo lisitokee. Shetani na malaika wake ni wengi sana, na wanatumia kila silaha waliyokuwa nayo kutawala dunia.
Wazima wakuu
Zanzibar sio nchi
- mbatata za kuchemsha = uwanga kama nipo sahihi
- chipsi za muhogo = uwanga kama nipo sahihi
- kachori = ndani yake muna mbatata, unga wa ngano, mafuta, chumvi, ndimu au limao.
- katlesi = mbatata, yai, mafuta, unga wa ngano.
- mayai = utajaza wewe
- maji ya urojo
- salad
- mishikaki = atajaza numbisa
- kitafunio (chapati, boflo, maandazi
- juisi
twende kwenye sembe
hata mwendawazimu anajua msosi bora ni upi kati ya hivyo viwili.
- maji ya kisima au ya mto
- mahindi machanga
- bamia
- pia nasikia wasukuma wakikosa bamia hutumia chumvi ya madonge kama kitoleo chao
- mkaa au kuni za kupikia
- vifuu vya kukolezea moto
- mafuta ya taa
- jiko la gesi
karibu zanzibar (nchi pekee aliyezaliwa msanii wa uingereza fred mercury)
View attachment 1242978
Acha kusingizia uzi.😁😁😁😁😁😁Haki vile uzi umeniharibu mno 😄😄😄😄
ni kweli zanzibar si nchi wala si kinu cha kutwangia mboga ya muhogoZanzibar sio nchi
Hii ndio rojo?
Sawa mpendwa kwa kweli Bradha umeniharibu sana toka tuwe majirani huku VingungutiAcha kusingizia uzi.
Safi, hali yako