Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Ee bana

Si beti ikabuma. Watu tushaandaa pilau,vinywaji nakadhalika shuain lalana akaharibu shughuli

Hatujakaa sawa bradha katuletea misamiati mipya ya jamaa wa library na kupanga vitabu

Hee kugeuka kule yupo hawachi bana utadhan kaazima nywila,hawachi wetu mpole mpole leo kawa mtaalamu awesome

Bila kusahau daemusin mkorea wa kizenji mwenye ugomvi matata na sembe

Oppsss ndugu wapendwa leo ni mechi ya man u kule pande za futuhi

Dedication kwa man u
#ipoSikuTutarudiUCL


Mwisho wa sikuuuuu

#FreeeThehappiness
 
  • maeneo fulani ya kujidai tunapika wali wa maji mida ya jioni baadae tunanunua maharage yetu.
  • siku ya pili asubuhi tunakula tena uporo wetu kwa maharage.
  • tukirudi mida ya saa 9 tunakula tena uporo wetu.
ni mwendo wa uporo kama tupo msibani kwa wachagga wabahili
 
Anguko la hii movie naona ni vile imetoka kipindi ambacho kuna utitili wa movie nyingi nzuri na bado zipo vizuri sokoni mfano Joker, Angel Has Fallen, Rambo Last Blood,Hobbs and Show
It makes sense. Lakini mkuu kitu kama ni kizuri ni kizuri tu lazima kijiuze..mfano joier tu hapo kulikuwa na muvi nyingi kali zinazotoka October hii lakini mpaka sasa ishafika mill 700 kwa bajeti ya 55mill
Labda tuipe muda itaendelea kuuza taratibu. Kama avanger imetoka april ila mpaka leo inaingiza hela. Tuipe muda tu. Gemin man na Maleficient zaweza fanya vizuri sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…