Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pole our depalHiyo no mbili hiyo imenikuta juzi
Pole sana mpendwa.Hiyo no mbili hiyo imenikuta juzi
Ulikwenda kwa daktari au ulikausha tu kibongobongo?Hiyo no mbili hiyo imenikuta juzi
Sawa mpendwa mwambie safari njema.Unanionea mpendwa. Fragaria siyo wa kunyang'anywa nywila hivi hivi yule. Likely yuko zake safarini abroad kama ilivyo kawaida yake.
Naona umerudi na moto kama wote 😂😂Heheh!!
Kwa taarifa tu niliyopenyezewa ni kwamba
Depal alikuwa busy kutafuta maji ya madafu etiiii ningendako ndo maji yake ya kuoga hayo.
Vilevile alikuwa anajifunza kupika chapati za alizeti.
Kingi bhana wivu umemzidi kisa anakandwa na maji ya barafu
Hawa vijana wanakula maisha sijui Bradha ana fail wapi
Mwisho wa sikuuuu man u mfungwe tuuuu
Movement inaendelea
#freeTheHappiness
#vijanapunguzeniwivu
#achieni nywila hizo
Fragaria njoo ujitetee huku [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa mpendwa mwambie safari njema.
Duh!Numbisa mdogo wangu ukinisalimia sinenepi
Wazima kabisaWazima wakuu
Nilikausha bro si unajua kibongobongo 🙆Ulikwenda kwa daktari au ulikausha tu kibongobongo?
[emoji818][emoji818]