Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Tatizo nini hapo bro
  1. liverpool na totenham wiki hii wamecheza jumanne na jumatano kwenye UEFA hivyo basi ulikuwepo uwezekano wa mechi yao kuchezwa saa 8:30 kwa saa za Afrika Mashariki
  2. kati ya arsenal na manchester united mmoja wao akacheza saa 11 jioni.
  3. halafu mwengine akamalizia saa 1:30 usiku.
kuliko kukusanya mechi zote tatu kwa wakati mmoja, hata kibiashara ya kuonyesha live match huko duniani itakuwa ni shidaa.
kivyovyote kampuni kubwa zitanunua haki miliki ya kuionyesha mechi ya liverpool na tottenham.
 
Kwa upande wangu nilipenda sana kufanya kazi za usalama mwanajeshi,polisi, afisa usalama wa taifa nk nk sasa apo malengo ninayo nifanye kazi ipi labda hapo ili yatimie?
tafuta hela mkuu watakuingiza hata kwenye hizi kamati za ulinzi za wakuu wa mikoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…